Baada ya Agizo kutoka Mamlaka Kuu ya Pool Table Tanzania – TAPA, Ifuatayo ni Randamu ya Rasimu ya Katiba itakayokwenda kutumika na chama cha Pool Table Mkoa wa Arusha. Randamu hii ina Jumla ya Kurasa 24, ni vyema kila mdau na Mpenda maendeleo ya Pool Table Mkoa wa Arusha kushiriki kikamilifu ,kupitia na kuboresha rasimu hii kable ya kuwa Katiba ya Chama cha pool Table Mko wa Arusha, Arusha Pool alliance – APA.
Punde Baada ya Mchakato huo , tutakwenda kushiriki kura za Maoni , kuruhusu upatikanaji wa Katiba ya Chama. Kura za maoni zitafanyika ndani ya siku Tatu [ Tarehe 15,16,na 17 March 2024 kupita tovuti hii ya NOPOT-kurasa maalumu kwa ajili ya kupigia kura za Maoni.
Tuambie kuhusiana na Maboresho yako, Maoni yako Juu ya rasimu hii, Tukumbuke haya maoni yako wazi kwa kila Mdau kuchangia .
Every tournament guarantees an extraordinary experience, attracting the finest pool players from around the globe.
Our team of dedicated organizers is passionate about the game,
MJADALA HUU WA RASIMU KATIBA UKO WAZI KWA KILA MMOJA
Mimi naona kipengele cha Marefa kiongezwee
Tunaomba Maoni yako Tafadhali
Maoni tuwe na Marefa kamili ,itasaidia sana naunga Mkono
Marefu watu muhimu sana
Vipi kuhusu Bendera ya Chama,Mifuko kwa manufaa ya Wanachama Hama, Pia naunga Mkono Kuhusu hao refaa.