Rasimu- Katiba

RASIMU CHAMA CHA POOL TABLE MKOA WA ARUSHA

Baada ya Agizo kutoka Mamlaka Kuu ya Pool Table Tanzania – TAPA, Ifuatayo ni Randamu ya Rasimu ya Katiba itakayokwenda kutumika na chama cha Pool Table Mkoa wa Arusha. Randamu hii ina Jumla ya Kurasa 24, ni vyema kila mdau na Mpenda maendeleo ya Pool Table Mkoa wa Arusha kushiriki kikamilifu ,kupitia na kuboresha rasimu hii kable ya kuwa Katiba ya Chama cha pool Table  Mko wa Arusha, Arusha Pool alliance – APA.

Punde Baada ya Mchakato huo , tutakwenda kushiriki kura za Maoni , kuruhusu upatikanaji wa Katiba ya Chama. Kura za maoni zitafanyika ndani ya siku Tatu [ Tarehe 15,16,na 17 March 2024 kupita tovuti hii ya NOPOT-kurasa maalumu kwa ajili ya kupigia kura za Maoni.

TOA MAONI YAKO

Tuambie kuhusiana na Maboresho yako, Maoni yako Juu ya rasimu hii, Tukumbuke haya maoni yako wazi kwa kila Mdau kuchangia . 

5 1 vote
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
6 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Nasekile

Mimi naona kipengele cha Marefa kiongezwee

Nasoro Mtengeta

Maoni tuwe na Marefa kamili ,itasaidia sana naunga Mkono

Nasoro Mtengeta

Marefu watu muhimu sana

Ambrosi Kapama

Vipi kuhusu Bendera ya Chama,Mifuko kwa manufaa ya Wanachama Hama, Pia naunga Mkono Kuhusu hao refaa.

Pakua Hapa- Download Here
Tournaments
6
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x